Hahaha hata husna mnataka kunipa mimi ??mmesahau jins alivyowagonganisha nyote wawl...ramli chonganishi, sijaiona alikuwa anamsalimia ningendako
Wa kisomaliii yulee au usajilii mpyaa ?Hahahaha
Ni kheri kama utaishia hapa,,nipate muda wa kurelax na shombeshombe bby
Miss u sister!!Kaka yngu ningendako
Mjombaa mjombaaaaHahaha hata husna mnataka kunipa mimi ??mmesahau jins alivyowagonganisha nyote wawl
Hahaha usajiri mpyaWa kisomaliii yulee au usajilii mpyaa ?
Kwa sababu ni msaidizi wa jiwe atakuwa ana habari nyingi nyeti,atakuwa anamjua madame kuliko wewe mkuu!!Hahahahah nakuona mjomba na fitina zako,,kwa hyo ww unamjua sana Madame S tofaut na navyomjua mm
......nashabikia chama kubwa binamu. Na ni mwanachama kabisa wa tawi la mpira maendeleo.Binamu unashabikia simba
Zote hizo ni fitina mkuu,,mjomba wangu namjua vzr sanaKwa sababu ni msaidizi wa jiwe atakuwa ana habari nyingi nyeti,atakuwa anamjua madame kuliko wewe mkuu!!
Salamu kutoka kwa msaidizi wa jiwe!Kwa niaba ya jiwee nawasalimiaa



Rafiki taratibu basi!Hasira zote hizo ni za nini?Mkuu am soryy kitumbua chako nimekitupia mchanga bahati mbaya!Zote hizo ni fitina mkuu,,mjomba wangu namjua vzr sana



Kwa sababu ni msaidizi wa jiwe atakuwa ana habari nyingi nyeti,atakuwa anamjua madame kuliko wewe mkuu!!
Salamu kutoka kwa msaidizi wa jiwe!![]()
Rafiki taratibu basi!Hasira zote hizo ni za nini?Mkuu am soryy kitumbua chako nimekitupia mchanga bahati mbaya!![]()
Msaidizi wa jiwe asie na mamlaka ya kutengua teuzi!Leo nina ufunguo wa ofisiii watu wasemee fyokooo niwafyekeleeee mbaliii



Marhabaaaaaa hujambooMi sijambo Shkamoo Da tumo