Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Salama kabsa jirani,,binamu yangu anakuficha sana ,,,au ndio mnatumia mapesa ya koroshow kimya kimyaKwema jirani za wewe
Salama kabsa jirani,,binamu yangu anakuficha sana ,,,au ndio mnatumia mapesa ya koroshow kimya kimyaKwema jirani za wewe
Hahahahahhahah yaan hilo jibu pigia mstari jiranSalama kabsa jirani,,binamu yangu anakuficha sana ,,,au ndio mnatumia mapesa ya koroshow kimya kimya
Safi sana lavie,tumshukuru AllahMungu anasaidia inaishia hivi
Safi sana lavie,tumshukuru Allah
Acha pazeeke tu...unatafuta kupazeesha huko, patatepeta kama chapati ya mahindi
Ebu ukoHii tabia mbaya nitakuwa nimefundishwa na shangazi bila shaka!![]()
Endelea kumla kifwala....kuna mambo ya kufanywa na baba na mambo ya kufanywa na mpenzi, ni majukumu tu, baba/mzazi/mlezi anunue simu na mpezi akulombe tu na kukuliwaza
Umepata nini etiiiJiwe anataka akufanyie uteuzi mkuu!![]()
NdiwoooooSimba hii inakufanyaaa ulaleee unonooo ukinogeshwaa na mjombaa
WouzeeeerrrAsante sana mkuu tena najihis nipo kwenye sitting room yeny full a.c.makapuku camp



hakunaga kama makapuku
Asante baba wawili kama hakuna vinywaji vyangu sitakuja halafu umeona mtu anayewapiga vitaAsante sana shangaz,,kwa kweli sie wazima wa afya ,,,karbu weeekend ututembelee ila vile vinywaj vyako pendwa utatusamehe hatutakuwa navyo.
Shangazi hapa sijakuelewa!unamaanisha nini?Umepata nini etiii
Kuona mwandiko tuhapa nimefarijika na kujiona mzima kabisa, asante hunito pole na wewe love ake
Asanteeeee nawapenda tu mm wale wachochezi endeleenu kuchochea kuni huku kwetu rahaaa tuuuuuMimi mzima kabsa,,pole na majukum love