Eenh ndio hivyo moudAlaa, kumbe ndiyo hivyo![]()
![]()
![]()
Mm mzima baba wawili jamani hofu kwako na mkeo nafurahi kuwaonaMimi sijambo shangazi,,hofu kwako??
Wakatiii mmeuzaa korosho na hamjanilipaa mtajii wangu
mjini hapa usimuamin kila mtu hata huyo binamu yako
Mi mwenyewe hajanipa hata mia
Hahahahh sasa nimuombe ili nionekane Kama dada poa
Upoje lakiniii wewe kama watu wameshaachana jeee hapo tu ndio unanivuruga ya watu waache wenyewe jamaniii
Mnunulie ya kwake...simu anayo, si amesme a anatumia ya kuazima? Au wewe ulitaka asiwe na simu kabisa?
Endelea kumdanganya...mia ya nini sasa, wewe sio wa mia wala elfu au makumi elfu, wewe ni wa mamilioni na bilioni na hizi zinakuja indirect na unazifaidi sana na utaendelea kuzifaidi pale reli ya SGR itakapoanza
Hahahahh naona unataman kuona siku niachika..napambana
....darling, unazijua ramli chonganishi zile anazoongeaga Behaviourist ? Basi usiwasikilize wanaokushauri kuachika





Mxxiuuuu basi pambana na hali yako kuliwa kifwala na kuazima simu Tumosa ukuje umuone ndg yako anavyotutia aibu
Kujiongeza na masex toy nao ni uzwazwa nyege ni vile mwenyewe unavyozipeleka unaweza ukawa single na usiwe na nyege kabisaa zikikuzidi chukua maji ya moto nawa sex toy ndio nini acha dyudyu liitwe dyudyu hakunaga kama lile
archduke mimi au?? kuna habari gani??
Hii tabia mbaya nitakuwa nimefundishwa na shangazi bila shaka!Upoje lakiniii wewe kama watu wameshaachana jeee hapo tu ndio unanivuruga ya watu waache wenyewe jamaniii



Kukubali kuliwa kifwala tuuu mtu hakusaidiii mtu hajiongezi huna simu hakununulii
Jiwe anataka akufanyie uteuzi mkuu!archduke mimi au?? kuna habari gani??



Asalaym Alyequm ,,u mzima ww??