Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ujuee nimeshangaaa kuona unaukana ukoo wetu wakati kwenye ukoo mim na Obe binamu ndo afwadhwariiii ....wewe kibokoooo unakombaaa kuanziaa mama mpka bibi mtuAh anko,,ujue nakutegemea kwenye safar yetu ya TA ww na binamu yangu,,,haya mambo tutaongelea kwenye kikao cha ukoo


