Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mbona emoj binamu sijaziona na ile chandarua yako inaendeleaje eti

......ile chandarua iko poa sana, yaani inanukia upya tu, kuna raha ya kununua kitu kipya sio unaenda kupokea neti hazina price tag bali linembo likuuuuubwa la chandarua hiki ni msaada toka watu wa Marekani. Yaani unaingia kitandani utasema unaingia kwenye kondomu zenye vipele
 
Hahahahahah

Similar Discussions

Back
Top Bottom