Ha ha ha ha
Sawa sawa mkuu,,weekend imeanza tayali
Thanks,,,hii avatar ni maandalizi ya huyo mtt unayemleta,,,ajue kuwa nmgentlemanHahahhahah
Baba wawili kuwa na subira mbona una haraka hivyo nimependa hiyo avatar
So sad wallahDaktari mmoja katika jimbo la Gujarat nchini India amekamatwa na polisi kwa tuhuma za mauaji baada ya kumfanyia upasuaji mama mjamzito akiwa amelewa.
Polisi wameiambia BBC kuwa mtoto alifariki punde tu baada ya upasuaji, na mama akafuatia baada ya muda mfupi.
Je madaktari wa upasuaji wanastahili kufanyiwa vipimo vya vileo kabla ya kuruhusiwa kuingia kwenye chumba cha upasuaji?View attachment 951444
Imekaa njema sana hii,mwezi wa kutoboka mifukoHahahaha
Yes week end ndio hii ,tunaikaribisha December
Hahahah uwe mpole shangazi hakawii kutengua baba wawiliNgoja niwe mpole shangaziThanks,,,hii avatar ni maandalizi ya huyo mtt unayemleta,,,ajue kuwa nmgentleman
Hivi kwa nn madaktari walevi hiviSo sad wallah
RIP
Vipimo vya pombe vinatakiwa aisee
Imekaa njema sana hii,mwezi wa kutoboka mifuko
Hahaha nmenyamaza shangaziHahahah uwe mpole shangazi hakawii kutengua baba wawili
Hahaha nmenyamaza shangazi
Sasa hivi kamuacha ndio mana huyo baba wawili haonekani humu sema ndio dada yako hajui kuachika
Hahaha nmenyamaza shangazi
Baba wawili mbebez kaja usinitie aibu basi tumekutafutia na tumosa
Khaaa weee mwanamke weweBaba wawili mbebez kaja usinitie aibu basi tumekutafutia na tumosa
Khaaa weee mwanamke wewe
Niko salama kbs nipo makapuku ss kumalizia wiki
Hahaaha
Akikupenda mama inatosha sana