Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Shunie now ukimchanganya anakuzabaa makofiii...anaimaliziaa wkend
...na akishaanza kucheza kungfu basi ndo itakuwa shida mjini
Shunie now ukimchanganya anakuzabaa makofiii...anaimaliziaa wkend
Aisee!Habari za Jpili wadau wema wa Makapuku Forum. Natumaini mmekuwa na wikend njema, mimi sijambo asanteni kwa kutoniuliza khali yangu.
Nilikuwa na mama yenu tangu asubuhi, tulikuwa kanisani kwenye maombi ya mnyororo, ndo nimerudi sasa. Kuna jipya?
Mama yenu anawasalimia
ABJ karibu sana binamu, pole na uchovu wa honeymoon yako.
marybaby nimekumiss sana
Hahahaa binamu,,umechanganya madesa...anko hii kampeni ninayopigwa kweli umekaa kimya hata kunitetea ndugu yako hakuna? Watu wamechafua sana jina langu yaani ina maana humu ndani hata ndugu zangu hamnitaki? Nitamtegemea nani sasa kunitetea kama sio wewe na aunt yangu? ningendako kanitosa mchana kabisa, Shunie ndo kawa wa kwanza kunifanyia fitna
Hahahaa binamu,,umechanganya madesa
Hahahaha hapana binamu,wala sina agenda ya siri,,mwenyew umeona jinsi nilivyokupigania na dada angu Tumosa...hapana binamu, sijachanganya madesa, yaani kila nikikuangalia kwa jicho la tatu naona kama una agenda ya siri na una maslahi yaliyojificha kwa marybaby , jamani niachieni huyu mrembo, kuna kuzeeka mjue na mafao yamepunguzwa
Mzee wa ramli chonganishi naona wivu unakukaba koo!!Kumbeeeeeee
Bado wapumuaaa???????????Kumbeeeeeee
Akuuu nilikuwa nalea familia...za mimi nzuri, mbona umekuja usiku sana, ulikuwa kwenye maombi ya mnyoro na wewe?
BadoooMmelala sasa eeh ,makapuku
Mmelala sasa eeh ,makapuku
Obe upo?
Bado saaaaaaaaana