Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Naanzajeee
Nawewe unataka
Nawewe unataka
Te amo my honey bunch...[emoji257] [emoji257] [emoji176] [emoji176]Te amo my senorita .. nakufikiria kila nyakati malkia wangu
NakufurahiaTe amo my honey bunch...[emoji257] [emoji257] [emoji176] [emoji176]
Hayaa pita kushotoNaanzajeee
Safi sana ... I'm so proud of uHayaa pita kushoto
[emoji182] [emoji182] [emoji182]Safi sana ... I'm so proud of u
Nakusalimiaa sana...nimekuja bhinamu! Kuna jipya?
Habari za Jpili wadau wema wa Makapuku Forum. Natumaini mmekuwa na wikend njema, mimi sijambo asanteni kwa kutoniuliza khali yangu.
Nilikuwa na mama yenu tangu asubuhi, tulikuwa kanisani kwenye maombi ya mnyororo, ndo nimerudi sasa. Kuna jipya?
Mama yenu anawasalimia
ABJ karibu sana binamu, pole na uchovu wa honeymoon yako.
marybaby nimekumiss sana
Nakusalimiaa sana
Mkuu una taarifa kuwa yamefanyika mabadiliko madogo katika baraza la mawaziri na wewe ni mhanga mkubwa sana kwenye mabadiliko hayo?[emoji4][emoji4][emoji4]Habari za Jpili wadau wema wa Makapuku Forum. Natumaini mmekuwa na wikend njema, mimi sijambo asanteni kwa kutoniuliza khali yangu.
Nilikuwa na mama yenu tangu asubuhi, tulikuwa kanisani kwenye maombi ya mnyororo, ndo nimerudi sasa. Kuna jipya?
Mama yenu anawasalimia
ABJ karibu sana binamu, pole na uchovu wa honeymoon yako.
marybaby nimekumiss sana
Ulituambia nini mkuu?Niliwaambiaa