Makapuku Forum

Makapuku Forum

...anko si utulie na wizara moja jameni?
Wengine, hasa mimi ninafaa kuwa waziri asiye na wizara maalum, niwe nahamahama kama mfugaji wa kinyantuzu na kuhakiki ubora wa mazingira nyevunyevu, nikiona ukame tu naenda kwenye unyevunyevu
Subirii kwanza marybaby wangu anipee kopaa
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Habari za Jpili wadau wema wa Makapuku Forum. Natumaini mmekuwa na wikend njema, mimi sijambo asanteni kwa kutoniuliza khali yangu.

Nilikuwa na mama yenu tangu asubuhi, tulikuwa kanisani kwenye maombi ya mnyororo, ndo nimerudi sasa. Kuna jipya?
Mama yenu anawasalimia

ABJ karibu sana binamu, pole na uchovu wa honeymoon yako.

marybaby nimekumiss sana
Salama kabisa..

Kwani honeymoon huwa inachoshaa??
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Similar Discussions

Back
Top Bottom