Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Inachomaa mpka kichogoniii
Mke wa binamu huyoooo kutoka honeymoon
Mke wa binamu huyoooo kutoka honeymoon
Hahahaa kumbe ushajijibu
Member wa humu sio wapya ngabu sema tu huwaoni majukwaa mengine sio watembezi wao ni makapuku tuHumu kuna members wapya wapya tu.
I mean, ambao hawaendagi sana kwenye majukwaa mengine.
Ndo maana thread in kurasa maelfu na maelfu...
Hahhahahaha baba wawili kweli umemchoka binamu yako na kumbeba kote huko umeamua kumuuaAise,kumbe
Binamu balaa tupu,,anawapanga tu
Ni ke huyo NgabuWewe ni Ke au Me? Mi nahisi utakuwa ni Ke....
Umeona toto bora mahela uliyompeleka China ya kuongeza chura ungenipa shangazi yakoJoto ya jiwe maana yake nitaishia tu kula kwa macho!
HahahhahahHongera sana jirani
Binamu taarifa kama hz huwa hafikishi hapa.
![]()
Za honeymoon jamani
Hahahhaha ndio binamu yako kakupinduaInachomaa mpka kichogoniii
Kwema Mkuu za weweMkuu kwemaaa ?
Sikuona hyo salamuHahahhahah
Ila jana alisema tunasalimiwa na abj
Njema sanaaZa honeymoon jamani
Niko poa mie za wewe hivi samaki haujaniletea eenh
Hahhahahah baba wawili unayaoana haya mambo ya wakuuu binamu kampindua ndg yakeKwema Mkuu za wewe
Has mi nilidhani haichomiiInachomaa mpka kichogoniii
Kwema Mkuu za wewe
Jamani ngoja aje ntamuulizaHongera sana jirani
Binamu taarifa kama hz huwa hafikishi hapa.
![]()