Shunie za kuninyimaa location
Hahahaha, hawezi kunipiga bana,sababu simuudhi hata kdgmtu chake upoo ushazabwa makofi ?
Na ubaya zaidiii ata nikisema nizime tv nikalale siwez pata usingzNipo anko, si unajua wikend inavyokuwa mperampera na Chelsea huku ananitenda tu pumbavu zake
Hakuna cha kumpa zaidi ya mahela tuuu nasema toa hela toa helaaa tena mengi mengiiiiiii[/QUOTE
sante kwa Kunifungus akili
Na ubaya zaidiii ata nikisema nizime tv nikalale siwez pata usingz
....balaa tupu, uko na wa sikuzote au kuna ingizo Jipya, maana hii timu inaweza kusababisha ukachukua maamuzi ya kimwili zaidi
....balaa tupu, uko na wa sikuzote au kuna ingizo Jipya, maana hii timu inaweza kusababisha ukachukua maamuzi ya kimwili zaidi
Hivi we Obe huku huwa unaonekana usiku tu?
kumbe mimi na wewe ni nduguHahahaha
Umeamkaje dada angu?