Kazi ipoHapa nitatumia uwezo wangu Wa kiinteljensia kuchubguza hii kitu
Niko hapa jamani ngabuShualina kaenda wapi?
Jovita na wewe umepotelea wapi?
Kheeeee
Kwahiyo unatufatilia ujue utakufa baba mchungaji kabla ya siku zako
HahahhahaahKwani wewe unakunywa Heineken?
Huyo jovitha hata husna hamjuiWewe husna kabisaaaaa shwaaaaaiiiiiiniiii
Pole sana.unajifanya huioni sio
AminaTUOMBE
Bwana Mungu wetu Asante kwa kutupa siku nyingine hii ya leo. Tunashukuru Maana wewe unafanya njia hata pasipo na njia Utukufu na heshima ni kwako Yesu. Tutakase Yesu, tuokoe YESU, tupiganie Yesu,Tusamehe tulipokosea,Tupe Amani yako,tuoneshe njia,Tupe siku ya Baraka leo,Tupe leo riziki zetu,tusaidie kutimiza malengo,maono na kusudiTuponye Mfalme . Tukutanishe na kila ulichokiweka katika Nafasi zetu. Ni katika Jina la Yesu tunaomba tukiamini na kushukuru Amina.![]()

HahahahhahaBinamu saa hizi upo huku huwa unagegedwa saa ngapi?![]()
JamaniNasikia shangazi yupo kwenye hangover kali sana ya bia za jana!
Baba wawili huyo wawili wako wa kudownload wanaendeleajeAsubuhi njema na kwako pia.
HahhahaaZa asubuhi jamani...?
Na we kazana hapo hapoHahahaha Marybaby anafoleni ndefu sana
AmeeeeenTUOMBE
Bwana Mungu wetu Asante kwa kutupa siku nyingine hii ya leo. Tunashukuru Maana wewe unafanya njia hata pasipo na njia Utukufu na heshima ni kwako Yesu. Tutakase Yesu, tuokoe YESU, tupiganie Yesu,Tusamehe tulipokosea,Tupe Amani yako,tuoneshe njia,Tupe siku ya Baraka leo,Tupe leo riziki zetu,tusaidie kutimiza malengo,maono na kusudiTuponye Mfalme . Tukutanishe na kila ulichokiweka katika Nafasi zetu. Ni katika Jina la Yesu tunaomba tukiamini na kushukuru Amina.![]()
Kwani ni kweli we na Mtu Chake huwa mnapotea pamoja?
Maana jana ghafla tu ukapotea ukaniacha na Jovitha....
He he naona umeamua kujirudisha kwa tumosa
Kwani ni kweli we na Mtu Chake huwa mnapotea pamoja?
Maana jana ghafla tu ukapotea ukaniacha na Jovitha....
Hujambo?Hahahahah