Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Woyoooooo
Mbona makiss
Woyoooooo
Hahahaha
Mtaanza kusema na Asubuhi tumekuja pamoja ,Hahahaha
Nampenda sanaDah...Pogba bonge moja la mchezaji.....
Hahaahah rangi ya nn NgabuShualina we unapendaga rangi gani?
Hapana sijawahi kuwepo kwake nimemchumu tuHe he naona umeamua kujirudisha kwa tumosa
HahhahahahhHahahaha
Mtaanza kusema na Asubuhi tumekuja pamoja ,Hahahaha
Hahhahaa
Ngabu umenogewa
Sijambo shikamoo MangaHujambo?
Umeji qwite mwenyeweWe Mtu Chake naona umenigongea like....
Wewe ndo Mr Shualina?
Hahhahah na yy kaibuka mda huuAsubuhi nzima Shualina hakuwepo. Mchana huu kaibuka nawe umeibuka.....hmmmmm
Asubuhi nzima Shualina hakuwepo. Mchana huu kaibuka nawe umeibuka.....hmmmmm
Kheee si ulikuwa kwenye foleni kwa tumosa jamaniHapana sijawahi kuwepo kwake nimemchumu tu
Roho yangu ipo pele pele
Mahabaa nakuona upo vyemaSijambo shikamoo Manga
Hahhahah na yy kaibuka mda huu
Vibaya mno!
Hakuna stress hapa.
Halafu...mara tuonyeshwe chui chui....mara nyekundu....mara Pogba....
Mauroda yote Kwa nini nisinogewe??




Ngabu bwana
Nipo mm kama kawaidaMahabaa nakuona upo vyema
Umeji qwite mwenyewe
Hata mm mwenyewe nashangaa kumbe ipo hivyoNdio!!
Halafu unashangaa kwa nini tunashangaa??