Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,538
Etiiieee? Kusifiwa rahaa
Wanafunzi wazuri wazuri kama wewe hufanya maisha ya walimu kama mimi yawe mazuri pia 😉
Etiiieee? Kusifiwa rahaa
Wanafunzi wazuri wazuri kama wewe hufanya maisha ya walimu kama mimi yawe mazuri pia [emoji6]
Usiku mwema wapendwaaaa ni muda wa kitanda sasa.
Wanafunzi wazuri wazuri kama wewe hufanya maisha ya walimu kama mimi yawe mazuri pia [emoji6]
Haya mwalimu kalale.
Bye [emoji112] J...
Ok bye[emoji1309]Nyani......[emoji16][emoji16][emoji16] majina mengine bhanak kufupisha hayafai...
NN vipi?
NN vipi?
Usi qoute tena maana nitaamka.[emoji12]
Umenikumbusha watu tunapoanza ku date...
Ile we na mpenzi wako mnasindikizana....wewe nakusindikiza....halafu tukifika karibu na kwenu tunageuza unanisindikiza.
Tukifika karibu na napoishi tunageuza tena naanza kukusindikiza....basi tunaenda hivyo hadi tunachoka!
Mapenzi bana....
Ni kweli kabisaHaunaaa churaaa
Yuko poa kabisaNi njema kabisa yani
Vp mwandani wako hajambo? au hayo hayanihusu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nenda kasome bwana harusi aliyejeruhiwa mpenzi kukutag huko nitakutag kesho kichwa sio change mzima lakini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha, yote Mamii ,sina tatizo kabisa, kipendacho roho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu kuna taarifa kuwa pombe za weekend zimekata kichwani ghafla baada ya Shangazi yangu kuposti mupicha,hizi taarifa zina ukweli kiasi gani?[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16]ukitaka kuchuma vya juu lazima uweke vya kukanyaga kwa chini vikupe balance
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo sisi wengine masokwe eti mtu ni tumosa tu humu