Makapuku Forum

Makapuku Forum

TUOMBE
Bwana Mungu wetu Asante kwa kutupa siku nyingine hii ya leo. Tunashukuru Maana wewe unafanya njia hata pasipo na njia Utukufu na heshima ni kwako Yesu. Tutakase Yesu, tuokoe YESU, tupiganie Yesu,Tusamehe tulipokosea,Tupe Amani yako,tuoneshe njia,Tupe siku ya Baraka leo,Tupe leo riziki zetu,tusaidie kutimiza malengo,maono na kusudiTuponye Mfalme . Tukutanishe na kila ulichokiweka katika Nafasi zetu. Ni katika Jina la Yesu tunaomba tukiamini na kushukuru Amina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom