Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Tumempigania sana binamu yetu hadi mtt amemuelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unawahurumia tena cc ningendako Tumosa
Tumempigania sana binamu yetu hadi mtt amemuelewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unawahurumia tena cc ningendako Tumosa
Nimekuuliza tu mm jamaniMfyuu embu kuwa na adabu basi
Hahhaahhaha kumbe unamzoom tuHahahaha Marybaby anafoleni ndefu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mfyuuu zenu na nimetokeaThursday to Monday [emoji23][emoji23][emoji23] shangazi salam zako pokea
Nasubiri jibu na mmHivi ulinijibu eti.?
Navimba mm kupendwa ndio huko@Shunie Vimba shangazi[emoji173]
Hahaha itika na we uko ozaah[emoji134] [emoji134]
Makubwa hayaNdiooo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niko hapaShangaz yao watu umemficha wapi
Hahaha kwani we ndio binamuIpi ss unayonipa. ?
Ya wikiendi au ya sk za kazi.?
HahahahhahNalala,nikiamka kesho ntakujibu.
Au ningendako Nisaidie kujibu swali la mjomba wenu
Huyo hana tofauti na mswatiUna tabia mbaya sana ngoja Shangazi akirudi huku namwambia akupige suspension kwenye hili group!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani pata picha uo mchura ulivyo halafu ulale chali.
Habari zangu nzuri jamani baba wawili unaendeleaje na watoto wako wa kudownloadHahah labda anajua ww mhaya
Mm mzima kabsa,,habar za kwako shangazi?
Eeenh mm shangazi yakekumbe mna undugu na mzee wa chura?
Binamu kasema anwahurumia sana mnavyompigania sasa sijajua kwa nn anawahurumiaTumempigania sana binamu yetu hadi mtt amemuelewa
hongera sanaEeenh mm shangazi yake
Asante sanahongera sana