Makapuku Forum

Makapuku Forum

...kwema sana binamu, nafurahi umekuja mida hii.
Ila tuseme uongo kweli wewe hutamani japo kuhangout na Wema ukilipwa mafao yako? Huyu dada aendelee kubarikiwa hivi hivi abaki singo hadi tulipwe asilimia 25 ya mafao
Asilimia 25 hzo si kitu binamu,,unyonyaji tu ule,,tunapata shida sana hlf bado mafao yetu wanatupangia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom