.....binamu niliambiwa na mganga kwa kuwa natarajia kupata hela za mkupuo basi nimtafute Wema ili azibariki kabla sijaanza kuzitumia na baby Mary wangu.
Wala simtafuti kwa nia mbaya, nataka tu niwe kama Watanzania wengine wenye bahati maana Jokate ndo hivyo ndo kumpata labda nitangaze kujitolea kubeba zege huko kisarawe sijui mkuranga