Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Sasa anajua mm nitajuaje kihaya baba wawili jamani uko poa lakiniHahaha mm sio mhaya shunie
Sasa anajua mm nitajuaje kihaya baba wawili jamani uko poa lakiniHahaha mm sio mhaya shunie
Dah ,sijakosea kuomba kwa Mungu na Roho mtakatifu ,uwe upande wangu
Mbavu zangu mmHahahaha, shangazi yako yuko vzr,ndio maana nikamchagua
Sasa binamu wema sepetu wa nn na hizo hela zako au unataka ukamlambe mdomoni na ww...sema pole pole wasijekusikia wakaja kuniteka, nimelipwa hela nataka nizibadili kwenye dolari, una namba ya Wema Sepetu?
Poa Dada akee za wwniambie mdog wangu
...hawa ndo watu pekee wanaoniamini, yaani kweli undugu sio kufanana, wananitetea hadi nawahurumia maana ndugu yao mimi gari la mkaa







unawahurumia tena cc ningendako TumosaHahah labda anajua ww mhayaSasa anajua mm nitajuaje kihaya baba wawili jamani uko poa lakini
Hahahhahaha...ha hahahahahaa, dah, koroshow nimeipenda hiyo, wale wakongo itabidi wajiandae sana, itabidi kwa namna ulivyoikalisha kamati ya kunisaidia kuaminika kwa baby Mary basi mcheza shoo wa Koffi anayekata mauno sana na ana shanga nyeupe anakustahili
Asanteeeee binamu yangu kipenziBurudika na muziki huu ambao aunt yangu Shunie kataka uchezwe usiku huu na kama mnavyojua, mimi huwa nakuwa wa mwisho kujua masuala mbalimbali na hivyo nakuwekea uburudike muda huu. na ujue nini wewe mdau wa Jukwaa hili ningendako , Numbisa , Tumosa , marybaby , Lyon Lee , muafi , Slim5 , Behaviourist , Mtoto halali na hela , Mndali ndanyelakakomu , KingY , moneytalk na wewe ambaye sijakutaja, huwa mnanipa sababu ya kuja hapa maana jukwaa hili ni sehemu nzuri kuwepo sababu wewe upo. Alhamis njema


ngoja nimwite mwajir wangu my boss@Rogie pita huku ulete mrejesho
HahahahhaShangazi kazi za ndani zinaendeleaje?![]()
Hivi unamuelewa huyu mzeeWooooyooooooo
Cha ugimbi umeacha kujivunga![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Roho mtakatifu kafanya kaz yke
EeenhHahahaha, bado naendelea na Maombi lkn
Baba wawili huyo kwa avatar ni nanikuwa nae makini anko wako
Niko hapa jamaniLeo najisikia vibaya kwa sababu sijamsalimia shangazi shikamoo!![]()
Ukiulizwa nimetekwa na nani utajibu vipiKatekwa
kumbe mna undugu na mzee wa chura?Niko hapa jamani