Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Si naja Kula tu, nothing elseNa usiku huu kaka![]()
![]()
![]()
![]()

Si naja Kula tu, nothing elseNa usiku huu kaka![]()
![]()
![]()
![]()

Dunia na yaliyomoHajatosheka tuu
Binamu usije ukaleta tena fujo kule kama ulivyofanya leo halafu ukakimbia!!Hi![]()
![]()
![]()
binamu yngu



Hivi mjomba ni mkwe eti.?
Nalala,nikiamka kesho ntakujibu.
Au ningendako Nisaidie kujibu swali la mjomba wenu
Una tabia mbaya sana ngoja Shangazi akirudi huku namwambia akupige suspension kwenye hili group!!Ankoo taratibuu bhasiii...ila si wanasema mtoto wa rafiki yako ni mwanao manake mke wa rafik yako ni mchepuko wakoo ...same applies to churaa
Anasumbua naona hajatosheka bado!!Hajatosheka tuu
Una tabia mbaya sana ngoja Shangazi akirudi huku namwambia akupige suspension kwenye hili group!!
Yaani pata picha uo mchura ulivyo halafu ulale chali.Lala ulaliweeeee dadeeekiiiiiii na mchuraa ulivobustiwaaaaa
Huyu jamaa ana tabia mbaya sana ngoja shangazi akirudi tumwambie amfukuze hapa!Hahaha..kwamba chura wa rafiki yako ni wako eenh.?
Unaongeaa na mm au @behaviuoristYaani pata picha uo mchura ulivyo halafu ulale chali.
Naongea na ww,Unaongeaa na mm au @behaviuorist
Si unajua tena kaa krb na ua ridi upate kunukia,nami navimba
Ankk anauliza nini??Nalala,nikiamka kesho ntakujibu.
Au ningendako Nisaidie kujibu swali la mjomba wenu
Hahaha hata mm naona,,lala salama aisee.Si unajua tena kaa krb na ua ridi upate kunukia,nami navimba