marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
[emoji23][emoji23] ningendako Mueleweshe shangazioHuo msafara wa vipiii yani binamu anatoka ulaya au leo nimekuwa wa mwisho kujua jamani
[emoji23][emoji23] ningendako Mueleweshe shangazioHuo msafara wa vipiii yani binamu anatoka ulaya au leo nimekuwa wa mwisho kujua jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji38][emoji38]hayo mambo ya nikinywa maji nakuona kwenye glass bhn mi staki..
Miss u more na ubahili wako[emoji4]
Si ana yule mganga hua anajitapa nae,?hawezi tusaidia akatoa .?Na ubahili wake ataanzaje
Hahhahahah hao wanaongoza kusinziaDodoma pia marufuku. ?
Sijui ndio kichaa cha pesaHahahhahah ukiipata ukatambike yaani naona una matumaini nazo sana
Za msumbiji marufuku[emoji124] [emoji124]Obe[emoji26][emoji26]View attachment 941562
Hahahhaha mary unamuona anko wako huku anataka nianzishiwe threadKweli kabisa hakuna wa kukusumbua hata kdg,kuwa huru
[emoji23] [emoji23]Mfyuuuuu zenu
Usichoelewa nn hapo[emoji38][emoji38][emoji38]tueleshane hapa
Na udomo zege ule hawezi kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Binamu hana mambo ya kupangisha watu foreni bhna
Miss u too[emoji8] [emoji8] [emoji8]Wazima nimewamiss tu mm
Shkamoo inastopisha mambo yote kwakweli[emoji23]usiogope
[emoji23][emoji23]Shkamoo inastopisha mambo yote kwakweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usintanie aisee kwa tim ipi mpk ubeti, ?Hahaha usinikumbushe ujue nilibet taifa stars wakanichania mkeka wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfyuuuuu
Tuko poaMakapuku mmeshindaje
Gari limeangusha korosho [emoji38][emoji134] [emoji134] [emoji134] hofu ya nn tena
Ananiuzi kweli yani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]