Tumosa thibitisha
Hahahah na kweliKm msumeno,mbele na nyuma.
Angalia hapo,,,kajiita mwenyew kuwa ni shangazi yao mtuJe wajua inawajia punde na shunie shunie shangazi yao mtu
Analikataaje kwa mfano
Muache kweliBc mama tumeacha
Itakua ilizama
Hahhahah hakuna kulalaKwamba tusilale na mechi zighairishwe. ?utavunja ndoa mama
Hahaha ebu uko mniacheShangazi asotaka shkamoo![]()
Huo msafara wa vipiii yani binamu anatoka ulaya au leo nimekuwa wa mwisho kujua jamaniHivi upo ktk msafara wa kumpokea huyo Binam wako??
Jiranii unaitwa hukuDuh jirani hadi huku kwa makapuku upo? Wasalimie mtaani kwetu