Wakubwa wakiwa wanaongea,watotot tunatakiwa tukalale au tuendee kucheza rede,??
Nakusalimia mkuu
Siendi mbali..Hahahaha, muhimu usiwe karibu tu ,na usiwe mbali pia,ili ukijitajika kutumwa unaitwa
Pokea hug toka kwangu tafadhali,na shkamoo yakoNmekumisiiii ujue

Nimewakumbuka sana ndg zangu wa humu!_
Pokea hug toka kwangu tafadhali,na shkamoo yako![]()
Krb sana,!Nimewakumbuka sana ndg zangu wa humu!_
Kwamba mtt wa mwenzio,mkubwa mwenzio au sio.?Sasa shikamoo ya nn ..ondoa hiyo shikamoo bandikaa buchuu
Undugu basi,?Binamu sitakii ata kumsikiaa
Hahahahahaha kama ulikuwepooKwamba mtt wa mwenzio,mkubwa mwenzio au sio.?
Tupoo ...
Nafanya research dada alimpata kwa njia hipi...sijui mtoto wa fiesta au mwenge ata sielewiiiiUndugu basi,?
Safi sana Mkuu
Tatizo lako akija unaniruka futi 2000,ukipata jibu la research yako nitafuteNafanya research dada alimpata kwa njia hipi...sijui mtoto wa fiesta au mwenge ata sielewiiii