marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Usinambie hasira za kufungwa ukazimalizia kwa MrJana tulivurugwa na kufungwa
Usinambie hasira za kufungwa ukazimalizia kwa MrJana tulivurugwa na kufungwa
Bila wasiwasi km jamaa walivyojitoa ktk vita dhidi ya kutatuana marindaWewe umejitoa kabisa
Tunakupenda pia TumasoNtawakuta jioni nawapenda mm
Hii maana ya mwanamke kuwekwa nyuma km mkia siielewagi kbs kwa mataifa hayoMamia ya wanawake nchini Iran wameruhusiwa kuhudhuria mechi ya fainali ya ligi ya mabingwa barani Asia mjini Tehran.
Hatua hii inaonekana kama uwezekano wa kufikisha mwisho zaidi ya miaka 35 ya kutengwa wanawake kutoka mechi muhimu za kandanda.
Walitazama timu ya nyumbani Persepolis ikishindwa na timu ya Japan Kashima Antlers.View attachment 930642
Hakuna wa kukupiga bit zaidi ya mm mwenyewe uwe na amani kabisa
Boraaa umesemaaTatizo chura hamna![]()
@obe mkuu pokea salam zakoShkamoo..![]()
![]()
Baba wawili wangu wa kudownload nilikumiss naona nyayo zako ndio umeachiwa eenh



....mwendo wa mapacha tu huku, utafurahia ukinipata mimi, kila mtu atakushangaa sana




@Shunie huyu tajiri wa kumwaga noti ndo kati ya wale watakaobebewa bidhaa yao na magari ya naniliu. ?
Hii maana ya mwanamke kuwekwa nyuma km mkia siielewagi kbs kwa mataifa hayo
@obe mkuu pokea salam zako
Vipiii umempendaBc atakua kati ya waliopiga zile za mwanzo![]()
![]()