Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wanasayansi wanawasiwasi dhidi ya jiwe kubwa lililoingia kwenye mfumo wetu wa Jua na kutoka kwa kasi ya ajabu, linaweza likawa ni ndege ya Aliens waliokuja kuchunguza mfumo wetu wa Jua.

Wanasayansi walitumia darubini za mawimbi ya sauti kulichunguza jiwe hilo kubwa linaloitwa 'Omuamua' ambalo liliingia kwenye mfumo wetu wa Jua mwezi oktoba 2017 kwa spidi ya ajabu na kutoweka.
Screenshot_20181111-174509.jpeg
 
Kumbe mpenzi wa story kama sisi mm na tumosa wangu ni mateja wa story tumosa nilimtoaga kwenye mastory huko

Nikamwambia twende nyumbani kwetu makapuku akaja na kupata mume juu sasa hivi wamezaa watoto wao wawili mapacha wa kudownload


.....sasa mpeleke Mary kwenye mastory ila uwaambie wadau kuwa tayari yuko na mimi. Na sipendagi ushindani naujua uchawi
 
”Baada ya kupoteza uja uzito, nilihisi kwamba nimefeli kwasababu sikujua takwimu za kumwagika kwa uja uzito. Nilipotimia umri wa miaka 34, niligundua muda wangu kibaiolojia unayoyoma nikaamua kwamba uzalishaji wangu wa mayai ni mdogo swala lililonishinikiza kutafuta mbinu ya IVF” bi Michelle Obama
Screenshot_20181111-174912.jpeg
 
Wanasayansi wanawasiwasi dhidi ya jiwe kubwa lililoingia kwenye mfumo wetu wa Jua na kutoka kwa kasi ya ajabu, linaweza likawa ni ndege ya Aliens waliokuja kuchunguza mfumo wetu wa Jua.

Wanasayansi walitumia darubini za mawimbi ya sauti kulichunguza jiwe hilo kubwa linaloitwa 'Omuamua' ambalo liliingia kwenye mfumo wetu wa Jua mwezi oktoba 2017 kwa spidi ya ajabu na kutoweka.View attachment 929968
Wacha tule beer..

Haya mawe huwa wanayaripoti kila mara..mbona hayafikagi duniani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom