Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Shikamoo kaka ningendako
Mambo vp aunt shunie,,jana weekend ilibd nipate muda mwng wa kutulia na wawil
Umeamka salama?
Aisee. .inategemea km km huko nyuma kunatazamika,km ndio hamna chura bc kz inakua ngumu...kweli kabisa bora uwatangulize mbele uwaangalie nyuma
Na mm binamu usisahau mgao wngu.....yeah, ndo mimi, subiri ifike saa kumi jioni anko magu afanye kutujaza mahela, tutakuwa kama John Cheyo mzee wa mapesa yaani njoronjoro, makuta, fweza.
Andaa bajeti, nina fungu lako, ukiona gari la jeshi lisimamishe waambie unakuja Mtwara watakubeba frii
Naomba nikusindikizeYeuwii. ..sound yako ya kiwango cha lami ya moroko. ..
ShangaziiiiYaan nilimaliza kwa kumpa show ya kibabe
Tangazo la zantel lasemaje eti?,Sio anao anamjaza mary amkubalie eti na wao watazaa mapacha
Najazwa eti..
HahaSio shangazi huyo![]()
![]()
![]()
Korosho mwanaharamuLEO NIMEELEWA KWANINI WAHENGA WALITUMIA NENO "ROHO YA KOROSHO" WAKIMAANISHA ROHO MBAYA:-Korosho INA roho mbaya sana imemuondoa Waziri wa Kilimo, utafikiri yeye ndiye mkulima wake. Wenzie mahindi na mbaazi wako kimya japo nao soko limedoda, imemwondoa waziri wa viwanda na BIASHARA kwa kushindwa kuitafutia Wateja na viwanda vikubwa vya kuchakata, mahindi na mbaazi hawajafanya hivyo, korosho ina bodi imevunja bodi yote maskini ya Mungu mahindi na mbaazi hawana cha bodi ila wametulia wee korosho wewe!!!
Hahahaha, tena sio salam tu ,ni salam maalum kwake Shunie@Shunie salam zako ivoo
Oooh sorryTumosa
EeenhSwadakta, nimefurahi kumuona bibie, hapa kahawa inashuka vzr kabisa Karibu sana
Tupo makolokoloni wako![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nmekuja kuwachungulia kama mpo
Ni nani huyoSio wewe![]()
![]()
![]()
![]()
![]()