Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Yaan nilimaliza kwa kumpa show ya kibabeUsinambie hasira za kufungwa ukazimalizia kwa Mr
Yaan nilimaliza kwa kumpa show ya kibabeUsinambie hasira za kufungwa ukazimalizia kwa Mr
HahahahaBila wasiwasi km jamaa walivyojitoa ktk vita dhidi ya kutatuana marinda
Sijui wapoje jamaniHii maana ya mwanamke kuwekwa nyuma km mkia siielewagi kbs kwa mataifa hayo
Hahahha ndio hivyoAsee
Baba wawili jamani ndio unaonekana leo wawili wako wanaendeleaje jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo vp aunt shunie,,jana weekend ilibd nipate muda mwng wa kutulia na wawil
Umeamka salama?
Mh.....yeah, ndo mimi, subiri ifike saa kumi jioni anko magu afanye kutujaza mahela, tutakuwa kama John Cheyo mzee wa mapesa yaani njoronjoro, makuta, fweza.
Andaa bajeti, nina fungu lako, ukiona gari la jeshi lisimamishe waambie unakuja Mtwara watakubeba frii
Niko hapa jamani we mzee
Karibu sanaHahahha ndio hivyo
Kuepusha shariBoraaa umesemaa
[emoji38][emoji38]si J3 lkn.?@obe mkuu pokea salam zako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nmekuja kuwachungulia kama mpoKwahiyo unauhakika utatukuta eeenh sababu sisi ndio makolokoloni humu eti
Sio wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shangazi gani huyo
Sio shangazi huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasubiri akujibu
Yeuwii. ..sound yako ya kiwango cha lami ya moroko. .......yeah, ndo mimi, subiri ifike saa kumi jioni anko magu afanye kutujaza mahela, tutakuwa kama John Cheyo mzee wa mapesa yaani njoronjoro, makuta, fweza.
Andaa bajeti, nina fungu lako, ukiona gari la jeshi lisimamishe waambie unakuja Mtwara watakubeba frii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii ingenoga sn km angeambatanisha na pic ingenoga,
Kwaiyo bwana mpya anadumbukia tuu au.?
TumosaTunakupenda pia Tumaso