vnn
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 3,030
- 7,498
Sindio nashangaa me hata sijakutongozaKufanikiwaje tena kwani we mkuu unanitongoza
Nilikukaribisha tu kushiriki chakula cha jioni kama maandiko yasemavyo mpende jirani yako kama nafsi yako
Sindio nashangaa me hata sijakutongozaKufanikiwaje tena kwani we mkuu unanitongoza
Yupo busy na mtongozo tu
Mwanaume huwa halalamiki we umekuta watu waquote uone kama hawatakujibu shinda humu siku nzima uone raha yake
Wacha atongoze akaoshe rungu..Yupo busy na mtongozo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Barca kapigwa tena huko..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sio mm tu mquote yeyote unayejisikia kuchat nae prince uwe na amani zoteKila siku ntakuwa nakuquote wewe
Domo zege hela kutoa bahili pambana na hali yakoNipo busy na soka hapa.
Mtongozo wewe unanibania, unanijua kabisa mpwao mimi domozege afu unaniacha naongea hadi nakonda
Sawa mkuuSindio nashangaa me hata sijakutongoza
Nilikukaribisha tu kushiriki chakula cha jioni kama maandiko yasemavyo mpende jirani yako kama nafsi yako
Kijiwe kipi hikoNpo kijiweni
Domo zege hela kutoa bahili pambana na hali yako
Sijui nijitolee mm[emoji23] [emoji23]Jirani haoni wa kuchati nae jmn
KONKI?Sana tuuuu, mtu akizingua hatuchelewi kum[emoji418] [emoji418] [emoji418] [emoji418]
Shikamoo tenaTumosa, post: 29154595, member: 376902
hahaha acha kwanza nicheke kabla sijapokea salami yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bwana awe nawe
Mara hyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]marybaby, post: 29155912, member: 427932
hahaha embu njo tuyajenge uku pm
Ndo alifungiwa bunju nn?Hatimae umeachiwa[emoji38]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio amekwama tena,,nasubiria nauli ije akilipwa 1B ya Mo[emoji38][emoji38]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ww ndo mbaya wa binamuNa mama mchungajii wakee anakutafutaa jipangee kukatwaa ngembeee