marybaby
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 3,260
- 9,197
Shkamoo. .....ha ahahhaa haha, si mchezo aisee
Shkamoo. .....ha ahahhaa haha, si mchezo aisee
[emoji120] [emoji120]Kuelekea Jumapili nakuburudisha kwa muziki mzuri kwa sababu wewe ni mtu mzuri unayelifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Mapumziko mema na maandalizi mema kwa mnaoabudu
[emoji19] [emoji19]...asante kushukuru na zaidi asante kwako, nimesoma magazeti na Je Wajua, nimefurahi. MF ni sehemu nzuri kwa sababu wewe upo.
Sichoki kukupa zawadi ya asante siwezi kuwa bahili hata wa asante na kwa maana hiyo endelea kunitetea sana kwa marybaby
Niletee bill leo [emoji119]Hahahha
Kwa kukutetea binamu siwezi mm
Lbd unakatiza mida ya watu wametekwa[emoji4]Kila siku nakatiza humu hata sibahatiki wa kuchati nae
[emoji38][emoji38][emoji38]#kudadekihiindomakapukuforumaseeeeeeee
Maelekezo tenaJukwaa huru hili, unachati na yeyote aliyehewani (online) huwa kuna mada tofauti na unaweza kuanzisha yako na ukapata wengi tu wa kuchati nao kuhusu mada. ila kama unamaanisha chat binafsi, huwa nasikia kuna kitu wanaita PM waweza kitumia
Ni njema mummy..Habari ya asubuhi ndugu zangu
Muwe na jumapili njema n ibada njema pia[emoji120] [emoji120]
Nipo nae Bunju tangu ijumaa tunakunywa mvinyo wa kimataifa we mtoto endelea kupiga deki na kuosha vyomboShunie wapi magazeti na Je wajua.?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa BABA,lkn mayai na mkate vimeisha mwambie mama atume pesa[emoji30] [emoji30]Nipo nae Bunju tangu ijumaa tunakunywa mvinyo wa kimataifa we mtoto endelea kupiga deki na kuosha vyombo
Shikamoo mkuuTumosa, post: 29149254, member: 376902
mhuuu
Hbr yako binamuAcha twende sawa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mvumilie ndo alivo binamu yetuKwakweli sijajua kbs vile ametuchanganyia habari..
HakikaKimya nacho ni jibu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji38][emoji38]fonti page
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Lbd unakatiza mida ya watu wametekwa[emoji4]
[emoji120] [emoji120] [emoji8]Ni njema mummy..
Asante na kwako pia [emoji178] [emoji120]
Jirani haoni wa kuchati nae jmn[emoji23] [emoji23] [emoji23]