Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Hawapo humu#WAPIGAPUCHU
Hawapo humu#WAPIGAPUCHU
Jukwaa huru hili, unachati na yeyote aliyehewani (online) huwa kuna mada tofauti na unaweza kuanzisha yako na ukapata wengi tu wa kuchati nao kuhusu mada. ila kama unamaanisha chat binafsi, huwa nasikia kuna kitu wanaita PM waweza kitumiaKila siku nakatiza humu hata sibahatiki wa kuchati nae
chati na mimi mkuuKila siku nakatiza humu hata sibahatiki wa kuchati nae
chati na mimi mkuu
muda wa kuwa hapa umeisha usingizi umenirudia maana ulikata.....utakuwa hapa hadi saa ngapi kwani?
muda wa kuwa hapa umeisha usingizi umenirudia maana ulikata
Pm ndo wap binamu na mm niendeJukwaa huru hili, unachati na yeyote aliyehewani (online) huwa kuna mada tofauti na unaweza kuanzisha yako na ukapata wengi tu wa kuchati nao kuhusu mada. ila kama unamaanisha chat binafsi, huwa nasikia kuna kitu wanaita PM waweza kitumia

Hi....basi mimi nipo sana, nasubiri kunguni wachoke kunisubiri walale ndo nami nilale
binamuNawe pia mpendwaHabari ya asubuhi ndugu zangu
Muwe na jumapili njema n ibada njema pia![]()
![]()
Asante

Acha twende sawa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kweli we kiboko ya binamu
Pole,Ooho! Wivu sina ila roho inauma
Kimya nacho ni jibu![]()
![]()
![]()
nikisema atasema me mbaya wake ngoja ninyamaze