Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Hee, mate nikuletee na nauli nijilipie tena,?
...jamani, mate si ya bure!? Sasa unashindwa nini kujilipia nauli, ?
Au vipi ngoja niangalie ratiba ya mbio za Mwenge tuone kama unaweza kupata lifti ya bure


