Mboga yng ileeeeMfumuko wa bei wa Taifa kwa mwaka unaoishia Oktoba, 2018 umepungua hadi asilimia 3.2 kutoka 3.4 kwa mwaka unaoishia Septemba. Kupungua huko kumechangiwa hasa na kupungua kwa bei za baadhi ya bidhaa za vyakula na vinywaji baridi kwa kipindi kinachoishia Oktoba.View attachment 928315
Ipiii hiyo mboga ya taifa auMboga yng ileeee
Hmm😨Asantee jamani
Binamu kuna watu wanajiulizaa unagegedaa saa ngapiii...Jumamosi njema watu wema wa Jukwaa hili
Mwanaume wa dar umeanza
Asanteee mrs infooAmka na magazeti na makapuku inakujia punde
Binamu ashakuleteaa korosho kwelii make kajichimbia hukoSerikali ya Tanzania imetishia kufuta leseni za wafanyabiashara wa korosho, iwapo ndani ya siku 4 hawatatoa idadi kamili ya korosho watakazonunua.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wanunue zao hilo kutoka kwa wakulima kwa bei ‘waliokubaliana’ ya shilingi 3,000 kwa kilo
wala sio bei iliyoporomoka ya kati ya Sh1,900 mpaka Sh2,700 za Tanzania .
Je nani atamnusuru mkulima wa Korosho?View attachment 928308