Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
Mh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nijiandae nini sasa,nilishapona siku nyingiii
Baby mpyaaaa na wakati ameingia kukutafuta mbebez wake amekuita weeweeeee usinitanie, ila bila shaka atakuwa na baby mpya
Unataja korosho maksudi tu binamu kunivuruga....nadhani wikend inapendeza sana, ratiba ni jumamosi na jumapili. Nakula korosho kupata madini ya zinc hapa na
![]()
Ebu niambie bwana ulikuwa unasemajeAiyaaaaaa..! dah[emoji37]
basi Bwana ndoa njema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atakuwa anawataman huyu
Baba wawili naanzaje mm jamani kuwatamani wawili wenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Asantee jamaniKaribu tujumuike
Shemdarling, shembebeShembebe ndio nini?
Isije kuta umeniita samaki kibua [emoji3][emoji3]?