Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Unalikumbuka gari lililorushwa na Elon Musk nje ya Dunia. Kwa sasa gari hilo pamoja na mdoli aliyekuwa ndani tayari limeshafika kwenye sayari ya Mars.
Watafiti wanasema kunauwezekano wa asilimia 6 gari hilo kuja kudondokea Duniani ndani ya miaka milioni 1 ijayo au linaweza likadondokea kwenye sayari ya Venus.