Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Mfyuuuuu mm unitoeShikamooni woteeee
Mfyuuuuu mm unitoeShikamooni woteeee
Na wewe piaNawasalimia sn waja wa mola,
Muwe na sk njema.
Hahaha,,mie hii kesi nzito naitua kwakweli mtaniita nije nipige mchanga.
Habari ya uzima lkn,? Maana mmepotea mpk Shunie kapata shaka
Hivi mm ndio nilikutosa au we ndio ulinitosa jamaniNtamalizana naee make ni binamu wangu ntafanyajeeee ....
Shunie alinitosaa tokea jumamos sijui kapotelea wapiii
Karibuuu ...usinambieee ushatokaa chinaaMagazeti na makapuku inawajia punde
Karibu mwayaNpo hapa kijiweni
Saa ngapi hiyo watakapokuja binamu...sasa nalishika kidogo hadi hapo kina Tumosa , Behaviourist , Shunie , Malcom Lumumba , Transcend , Mndali ndanyelakakomu , Mkushi Da Gama , shululu , Slim5 , omarion5 , watakapokuja
Unatutenga[emoji29] [emoji29]Magazeti na makapuku inawajia punde
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shunie wangu yupooo chinaaa kafataa jeziiii
Wewe hapooooooooHivi mm ndio nilikutosa au we ndio ulinitosa jamani
Asante mpenzi na kwako piaNawasalimia sn waja wa mola,
Muwe na sk njema.
Bado sijatoka ningetoka taarifa ungezipataKaribuuu ...usinambieee ushatokaa chinaa
Usinambieeeee hujatokaa china kuchukua jezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siwatengi ila chamoto mtakiona juzi sio kwa kuniacha peke yangu mm humuUnatutenga[emoji29] [emoji29]
Kwahiyo unanikana sawa bwanaWewe hapoooooooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] cha moto tumeshakiona tayari zima moto.Siwatengi ila chamoto mtakiona juzi sio kwa kuniacha peke yangu mm humu
Hii safariiii naisubiriaaa kwa hamu na kichekooooo juuu ...usinambie immigration wamegoma kukugongeaa kibariBado sijatoka ningetoka taarifa ungezipata