Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Hahahaha nafata,,maana naona unanshambulia sasaHahahhahahha ndio unaenda kumfata dada ako eenh baba wawili
Hahahaha nafata,,maana naona unanshambulia sasaHahahhahahha ndio unaenda kumfata dada ako eenh baba wawili
Hahahhahhah ushushushu ukakuponza na kuchuniwa juuTulikua tunabishana ooh hunijui, nikamwambia mimi shushushu wa kujitegemea nakujua sio sana si ndio ikabidi nionyeshe uthibitisho, kidogo
Hahaahaha kwahiyo unakataaAisee,,mi sijui kuhusu hilo
Yaana katekwa jamani siku ya pili leo ebu mtafuteHahahaha nafata,,maana naona unanshambulia sasa
Mimi sijawahi labda kwa waliwahi wangetoa maelezo mazuri hapaHahaahaha kwahiyo unakataa
Hahahah!! AiseeHahahhahhah ushushushu ukakuponza na kuchuniwa juu
Woiiii mm bwana yy pia ananijua kuna kaka mmoja rafiki yake sana huyo mkaka anajifanyaga wa heshima alimuonyeshaga picha yangu sijui walitumiana watajua wenyewe
Siku hiyo kanikuta mmu nachat na mtu jukwaani huyo mtu ananiuliza shunie we potabo nikamuambia ndio mm potabi akatokea yy anakudanganya mm namjua shunie vizuri tu ni kibonge kheee nikamwambia unanijua kuliko ninavyojijua ndio kuja kujiuliza huyu kanijuaje kumbe yule mkaka wanaejuana ameniuza kwake
Jioni atakuwepo hapa,,,japo alikuwa busy busy na wanae,,wanamsumbua sumbua na hali ya hewa.Yaana katekwa jamani siku ya pili leo ebu mtafute
Na matokeo yake baada ya miezi 9Wanaita Kumbatio linalopumua

Hahahah jf ni kichaka mm bada ya kuona ananijua sasa na mm nikafanya juu chini na mm nimjue raha ya kuchunguliana wote mjuane sio mwenzio anakujua anakuchora tuuHahahah!! Aisee
Ila ajanichunia ila kumekuwa na heshima flani hivi, tunachati tu ila jf bana basi hadi leo anataka kujua nilipata wapi picha
Wanae yy wa kudownload au wa kwako we baba wawiliJioni atakuwepo hapa,,,japo alikuwa busy busy na wanae,,wanamsumbua sumbua na hali ya hewa.
Utafiti unaendelea....Shunie endelea mama tujue ndotoni wanafanyajeHeh,,hzo nazo ni tafiti ndugu zangu??
Ndio naanza kusikia hapa,,
Unaota unafanyaje sasa??
Lugola karuhusu kupiga kzMakonda ngoja awasikie mimi nitakua shahidi no.1

Baada ya miezi 9,,??inategemea sasa kama mhusika alikuwa ananyeshwa uji wa kutosha na wenye rutubaNa matokeo yake baada ya miezi 9![]()
Wanae yy wa kudownload au wa kwako we baba wawili


huwez kukubar najuaKwa baridi unayoiongelea lzm uji uwe na virutubishoBaada ya miezi 9,,??inategemea sasa kama mhusika alikuwa ananyeshwa uji wa kutosha na wenye rutuba
HahahahaUtafiti unaendelea....Shunie endelea mama tujue ndotoni wanafanyaje