Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
HahahahaBaada ya miezi 9,,??inategemea sasa kama mhusika alikuwa ananyeshwa uji wa kutosha na wenye rutuba
HahahahaBaada ya miezi 9,,??inategemea sasa kama mhusika alikuwa ananyeshwa uji wa kutosha na wenye rutuba
Nakubali baba wawili jamani[emoji23][emoji23][emoji23]huwez kukubar najua
Naona jino kwa jino sasa[emoji41]Lugola karuhusu kupiga kz[emoji16]
Ilani ya chama[emoji6][emoji38]Naona jino kwa jino sasa[emoji41]
Ooho!!Hahahah jf ni kichaka mm bada ya kuona ananijua sasa na mm nikafanya juu chini na mm nimjue raha ya kuchunguliana wote mjuane sio mwenzio anakujua anakuchora tuu
Chama kipi? HichoIlani ya chama[emoji6][emoji38]
HahahahOoho!!
Ukafanikiwa kama ukawa na fisiemu
Tawala[emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Chama kipi? Hicho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakubali baba wawili jamani
Hii story kila nikiifatilia hata siielew kabsa jambo ina mashiko naona,,mnaongelea nn kwan Shunie na @ dingimtotoHahahah jf ni kichaka mm bada ya kuona ananijua sasa na mm nikafanya juu chini na mm nimjue raha ya kuchunguliana wote mjuane sio mwenzio anakujua anakuchora tuu
ChademaTawala[emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ebu endelea kunidanganya basi baba wawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usicheke shunie,,naona naona tu mara kipotabo,mara kibonge mwepesi,mara nkamfatilia nam nkamjua,, dingimtoto anakolozea tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Baba wawili nimecheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya jf yanafurahisha sana baba wawili tulikuwa tunamuongelea mbebez wake wa zamani wa jf dingimtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usicheke shunie,,naona naona tu mara kipotabo,mara kibonge mwepesi,mara nkamfatilia nam nkamjua,, dingimtoto anakolozea tu...
Eeeh mnaongelea nn kwan?