Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aina hizo zote za mikufu zinahitaji utunzaji mzuri ili vitu hivyo viendelee kuwa vizuri ikiwemo kuwa na sehemu maalum ya kutunzia mikufu ili kuwa rahisi kwa mvaaji kuitumia mara anapohitaji kuvaa.
Wengi wetu wamekuwa wakitundika mikufu yao ya shanga na plastiki au ile ya asili kwenye stendi maalum iliyotengenezwa kwa ajili hiyo.
Hiyo husaidia sana kwani hata mvaaji hapati shida kujua mkufu wa aina gani unafanana na aina ipi ya nguo pindi anapotaka kuivaa.
 
...kama sijaelewa vile, tendo la ndoa ndo lipi sasa, ni lile la kuvalishana pete kanisani au kuchoma udi masjid au kama alivyofanyaga anko wangu bomani yeye hakuna cha keki wala shela wakafanya tendo la ndoa boamni kwa mkuu wa wilaya.

Au tendo la ndoa ndo kulombana, sio? Akili yangu inatanziko kidogo leo, nadhani ni kwa sababu ya hotuba ya Jiwe
 
Hahahahahaha,
Kule nimeacha bwanaa. Wazalendo wananitukana kila siku. Pembe za ndovu naziacha naenda Gym kutengeneza sixi paksi tu......
NI matumaini hizo sixi paksi zako unazotafuta hazina nia ovu kwa binamu zangu Tumosa na Shunie manake nawajua nyie vijana wa Dar! Badala ya kutafuta pesa ili muhonge pesa, mnataka kuhonga kwa sixi paksi... kwani sixi paksi zinaliwa? Eti binamu zangu?!

Ila dah, hao "wazalendo" wanakuwaga na hasira ile mbaya....
 
Haaaaaaaaah,
Mimi nyoka wa kibisa bwana sina madhara kabisa kwa hawa mtu. Saa hizi nalea tu.
 
Nimekumiss mm mpaka naumwa jamani aliyekuteka mwambie tumekoma akuachie basi hata kidogo
Hana cha kutekwa wala nini... we unafikiri Peruvian Hair mchezo!! Hoyaa Wick, laki 4 ushatoa au nitoe mwenyewe na tusitishe kabisa mkataba wenu?! Mwenzako kaamua eti aanze kutafuta sixi paksi utadhani hizo sixi paksi zinaliwa! Jomba Malcom Lumumba, 6 pcs worked better during JK era cuz' dadaz got lots of money making options lakini kwa huyu Msukuma, hizo 6 pcs peleka Colosseum zikasaidie kulinda akina Mo wetu!
 
NI matumaini hizo sixi paksi zako unazotafuta hazina nia ovu kwa binamu zangu Tumosa na Shunie manake nawajua nyie vijana wa Dar! Badala ya kutafuta pesa ili muhonge pesa, mnataka kuhonga kwa sixi paksi... kwani sixi paksi zinaliwa? Eti binamu zangu?!

Ila dah, hao "wazalendo" wanakuwaga na hasira ile mbaya....
six paki ndio nn binamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom