Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hana cha kutekwa wala nini... we unafikiri Peruvian Hair mchezo!! Hoyaa Wick, laki 4 ushatoa au nitoe mwenyewe na tusitishe kabisa mkataba wenu?! Mwenzako kaamua eti aanze kutafuta sixi paksi utadhani hizo sixi paksi zinaliwa! Jomba Malcom Lumumba, 6 pcs worked better during JK era cuz' dadaz got lots of money making options lakini kwa huyu Msukuma, hizo 6 pcs peleka Colosseum zikasaidie kulinda akina Mo wetu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo si aliahidi masai braids
 
Kumbe dawa ni ndogo hivi binamu!! Dah, afadhali manake hapa nilipo ni full msono wa mawazo, kinga za mwili zimepiga mbonji... sasa vipi binamu, tukutane basi weekend ili nipate hii tiba yenye baraka za Mola!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
NI matumaini hizo sixi paksi zako unazotafuta hazina nia ovu kwa binamu zangu Tumosa na Shunie manake nawajua nyie vijana wa Dar! Badala ya kutafuta pesa ili muhonge pesa, mnataka kuhonga kwa sixi paksi... kwani sixi paksi zinaliwa? Eti binamu zangu?!

Ila dah, hao "wazalendo" wanakuwaga na hasira ile mbaya....
Haaaaaaaaah,
Mimi nyoka wa kibisa bwana sina madhara kabisa kwa hawa mtu. Saa hizi nalea tu.
Six packs nzuri ukikumbatiwa unaingia mazima kwenye kifua ankole shikamoo
 
Hana cha kutekwa wala nini... we unafikiri Peruvian Hair mchezo!! Hoyaa Wick, laki 4 ushatoa au nitoe mwenyewe na tusitishe kabisa mkataba wenu?! Mwenzako kaamua eti aanze kutafuta sixi paksi utadhani hizo sixi paksi zinaliwa! Jomba Malcom Lumumba, 6 pcs worked better during JK era cuz' dadaz got lots of money making options lakini kwa huyu Msukuma, hizo 6 pcs peleka Colosseum zikasaidie kulinda akina Mo wetu!
Kwahiyo Peruvian ndio zimemkimbiza eenh
 
Binamu Obe magazeti huku
Screenshot_20181102-085117.jpeg
Screenshot_20181102-085135.jpeg
 
Back
Top Bottom