dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Hmm! Unywele wako nimeupendaSafiii nimefurahi kukuona
Hmm! Unywele wako nimeupendaSafiii nimefurahi kukuona
asante jamani dingimtoto kitu natural hairHmm! Unywele wako nimeupenda
Kama za ex wangu yaani hivohivo aiseeasante jamani dingimtoto kitu natural hair
He he huwezi juwa naweza kuwa ndio huyo ex wako vipi mgongo upo kama huoKama za ex wangu yaani hivohivo aisee
Hmmm weweHe he huwezi huwa naweza kuwa ndio huyo ex wako vipi mgongo upo kama huo

tusije tuka kiporo mana namtafuta kwa udi na uvumba
Mm na ex mkataba ukiisha umeisha sinaga kupasha kiporo mm tukionana kaka na dadaHmmm wewetusije tuka kiporo mana namtafuta kwa udi na uvumba
Yaani hata hivo hivo hakuwa mnene jamani
Hahahaha..! Principle yako nimeipendaMm na ex mkataba ukiisha umeisha sinaga kupasha kiporo mm tukionana kaka na dada
NdiwooooHahahaha..! Principle yako nimeipenda
Et kaka na dada
TumosaaaaT acha ukorofi
Ooooh jamani mko poa wapendwa wangu???????
We jichekeshe chekeshe tu... mi nafuatilia kila hatua unayopiga!
Usijisikie maumivu bhana... mi Shunie ni binamu yangu tu! Ooops! Nimekosea... Shunie ni dadangu kwahiyo ondoa hofu![shenjy taipu!.
Mm na ex mkataba ukiisha umeisha sinaga kupasha kiporo mm tukionana kaka na dada
Lakini mimi na wewe hatufanyiani roho mbaya bhana labda yule jamaa aliyeadimika mtaa huu kwa sababu yupo busy kujadili mambo ya pembe za ndovu!Siku hizi kuna kamati za roho mbaya!!.. Hatuendi kwa wajomba kulalamika!.
Unajua ninapopelekaMama D ...
Unapeleka wapi?