Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
wakati mfumo uendeshaji wa Android unazinduliwa kwa mara ya kwanza 2008, kampuni ya Apple, Microsoft, na Nokia waliudhihaki na kuzani usingefika mbali.
Mfumo uendeshaji wa Android leo hii ndiyo unaongoza kwenye soko la mifumo uendeshaji ya simu za mkononi huku mfumo uendeshaji wa IOS unaomilikiwa na Apple ukishika nafasi ya pili kwenye soko, Mifumo uendeshaji ya Microsoft na Nokia imeshindwa sokoni ikiwa pamoja na simu zao.