Makapuku Forum

Makapuku Forum

...sijayaona ndugu yangu, si unajua nachelewaga nakuwa wa mwisho ila nimeona Je Wajua tu? Ukiyaweka usiwe unasahau kunitag inasaidia maana msimu wa korosho nachelewa kusoma asubuhi
Halafu unajua unavyonivuruga nq kunitajia korosho
 
...niliwahi kumuuliza Mwanahuba mchomachapati akasema huwa inasaidia mwanamke kuwa na sauti nyororo isiyokwaruza, sikumbishia nikampa anachotaka atengeneze sauti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom