Makapuku Forum

Makapuku Forum

Slogan ya mapenzi ni uchafu naona imekupitia pembeni eenh

Ukiwa kwenye lile tendo hutakiwi kuwaza chochote zaidi ya kukulana

...na tena madaktari pori kama anko wangu Lyon Lee wanasema kuzama chumvini na kukivyonza kiantena ni tiba ya kisukari. Anko wangu nafikiri sababu ya kukosa PhD yake ni hii akili
 
...kama sijaelewa vile, tendo la ndoa ndo lipi sasa, ni lile la kuvalishana pete kanisani au kuchoma udi masjid au kama alivyofanyaga anko wangu bomani yeye hakuna cha keki wala shela wakafanya tendo la ndoa boamni kwa mkuu wa wilaya.

Au tendo la ndoa ndo kulombana, sio? Akili yangu inatanziko kidogo leo, nadhani ni kwa sababu ya hotuba ya Jiwe
 
Tendo la ndoa ni kukulana binamu
 
Utafiti wa kisayansi uliofanywa nchini Australia unaonesha umri wako unaweza changia katika kuelezea kama umeona msichana au bibi kwenye hii picha.

Tazama hii picha kwa makini kisha tuambie kama umemwona msichana au bibi. Yoyote utakayekuwa umemwona basi umri wako ndiyo utakuwa umechangia.

Watu wenye umri kuanzia miaka 18 - 30 walimuona msichana kwenye hii picha wakati wale wenye umri kuanzia miaka 30 - 60 walimuona mzee.View attachment 918174

...hii picha haitoshi mimi kutoa majibu, ingeshushwa chini kidogo kifuani nikajiridhisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom