Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,755
Kabisa rafiki!!Sio mtu wa mchezo huyo
Kabisa rafiki!!Sio mtu wa mchezo huyo
Ulimbarasa kivipi shangazi?Alikuwa ananiitaga shangazi humu nikambarasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa ole wako nikuone kwenye thread za watu unaanza kuuliza una chura ndugu yangu utamsikia kwenye bombaShangazi umenikata kidomodomo cha kudai chura kila siku!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa silitaki jamani naona limerudi tena nitafanyaje sasa jamani acha nikubali tuUlimbarasa kivipi shangazi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ya kizungu ndio inasound poa shunie,,,hyo pia uliikataa??Mchokozi sana huyo binti ananiita mm sitaki akaniambia basi shangazi shunie au sababu nakuita kiswahili basi ngoja nikuite aunty shunie
Hata wewe ukifanya kazi nzuri kama hii aliyofanya Shunie ya kunitafutia chura tutakuita shangazi pia![emoji1][emoji1][emoji1]Aunt yao watu
Anadai ni sofa lake la kulaliaOk,,kumbe sofa halilaliwi shunie??
Nilikataa nikamwambia kama ulikuwa unayajua kuna ya kizungu kwa nn toka mwanzo usiniite aunty[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ya kizungu ndio inasound poa shunie,,,hyo pia uliikataa??
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa ole wako nikuone kwenye thread za watu unaanza kuuliza una chura ndugu yangu utamsikia kwenye bomba
Ukifanya haya mambo mazuri kama ulivyonitafutia chura lazima upande cheo kutoka dada hadi shangazi!![emoji1][emoji1][emoji1]Nilikuwa silitaki jamani naona limerudi tena nitafanyaje sasa jamani acha nikubali tu
Aiseee,,,Ni mto wangu wa kuwekea kichwa wakati nimelala usiku pia!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe tatzo ilikuwa lugha ndio nmeelewa hvyo [emoji23][emoji23][emoji23]Nilikataa nikamwambia kama ulikuwa unayajua kuna ya kizungu kwa nn toka mwanzo usiniite aunty
Hahhaha[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahhahah sawa bwanaUkifanya haya mambo mazuri kama ulivyonitafutia chura lazima upande cheo kutoka dada hadi shangazi!![emoji1][emoji1][emoji1]
Eti shangazi namwambia hivi umefikilia nn jamani nimevaa kilemba kichwani na msiketi mrefu kweli mm shangazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe tatzo ilikuwa lugha ndio nmeelewa hvyo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inaweza kuwa alikuona umevaa hvyoEti shangazi namwambia hivi umefikilia nn jamani nimevaa kilemba kichwani na msiketi mrefu kweli mm shangazi