Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,755
Marahaba binamu!!....Nakupenda kidogo tu kwa sababu hukufanya ile homework yangu!!Shikamoo binamu
Siku hz hunipendi
Marahaba binamu!!....Nakupenda kidogo tu kwa sababu hukufanya ile homework yangu!!Shikamoo binamu
Siku hz hunipendi
Tabia yake sio nzuri..Shikamoo binamu
Siku hz hunipendi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo hana chura!
Kheeee anko na utu uzima huo na six packsHahahahahaha,
Kule nimeacha bwanaa. Wazalendo wananitukana kila siku. Pembe za ndovu naziacha naenda Gym kutengeneza sixi paksi tu......
Haaaa hizi ninazo tokea kitambo. Sasa naenda kuzipamba tuuu.Kheeee anko na utu uzima huo na six packs
Tuko poa mkuuNauliza hivi! Mmeshindaje humu?
NdiwoooTabia yake sio nzuri..
Anakuzibia riziki
Me kimbaumbau[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mm hapa nibusu[emoji4] [emoji4]Nataka wote
Eiiish hivi hiyo picha umeionaje wanaobusiana wapojeHaya mm hapa nibusu[emoji4] [emoji4]
Anko kumbe we mtu mzima kijanaHaaaa hizi ninazo tokea kitambo. Sasa naenda kuzipamba tuuu.
Kitendo cha kutokufanya homework yangu hadi leo ni kunikejeli![emoji5][emoji5][emoji5]Nimekukejeli vipi tena jamani
Nimekufanyia mchukue mzigua nimeshamwambia kabisa kuhusu wwKitendo cha kutokufanya homework yangu hadi leo ni kunikejeli![emoji5][emoji5][emoji5]
haa!!haaaa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].......haki nimecheka sana!!Nimekufanyia mchukue mzigua nimeshamwambia kabisa kuhusu ww
Daaaaah...Nimekufanyia mchukue mzigua nimeshamwambia kabisa kuhusu ww