Makapuku Forum

Makapuku Forum

Utafiti uliofanywa na chuo cha Harvard unaonesha wanaume wanaojichua au kufanya mapenzi mara 21 au zaidi kwa mwezi wanapunguza uwezekano wa kupata saratani ya tezi dume kwa asilimia 33%.

Katika tafiti zilizofanywa kipindi cha nyuma zilikuwa zinaonesha kufanya mapenzi mara kwa mara kunasaidia kupunguza hatari ya kupata saratani hiyo, ila utafiti huu wa Harvard umehusisha na kujichua ambapo vitendo hivyo vinasaidia kuondoa toxins zinazosababisha saratani kwenye kibofu.


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wapiga puchu hapa mmepata sababu sabuni zitaadimika sasaView attachment 915821
Na utafiti uliofanywa na taasisi ya kukuza Undugu Duniani, yaani World Brotherhood Initiative, unasema kwamba, watoto wanaozaliwa kutokana na migegedo ya binamu, wanakuwa majiniasi!

My Take: Binamu, tufanye kweli tupate mtoto jiniasi!
 
Yaani! Yaani hapa ni full mnyegeko unaohaha kutafuta mgegedo... njoo basi binamu uchukue Peruvian Hair! Niliamua kununua mwenyewe badala ya kukutumia pesa; nimehofu usije ukamuhonga yule jamaa ambao uwezo wake ni kugharamia nywele za Kimasai!
Binamu chige nakuja nitumie kwanza nizione
 
Na utafiti uliofanywa na taasisi ya kukuza Undugu Duniani, yaani World Brotherhood Initiative, unasema kwamba, watoto wanaozaliwa kutokana na migegedo ya binamu, wanakuwa majiniasi!

My Take: Binamu, tufanye kweli tupate mtoto jiniasi!
Sema kingine binamu
 
Eyeshadows ni urembo ambao hutumiwa juu na chini ya kope. Njia hii husaidia kuongeza kina na mwelekeo wa macho ya watu.
Watu wanapenda kutumia aina hii ya urembo ili kuweza kuimarisha muonekano wao.
Kama wewe ni mweusi jaribu kutumia rangi angavu ili kuimarisha muonekano wako ukitumia rangi za giza zitakufanya uonekane vibaya.
Ni muhimu kuhakikisha kuwa unakuwa makini ili kuweza kuweka macho yako katika hali bora zaidi ya kupendeza.
Wakati mwingine Eyeshadows hufanya macho kuonekana makubwa au madogo. Lakini cha muhimu kuzingatia je rangi unayopaka inaendana na macho yako au ngozi yako.
 
Unatakiwa kupaka rangi kwa ustadi mkubwa huku ukiweka mkolozo katika kona za macho yako.
Ni vizuri kama utatumia eyeshadow ya penseli kwani huwa rahisi kuitumia na inapatikana kwa urahisi madukani.Kuna rangi za aina nyingi ambazo hupendeza wapakaji, rangi hizo ni pamoja na pink plum, matumbawe na shaba, bluu na kijani
pamoja na fedha, dhahabu na nyingine nyingi.
 
Rangi hizi hutofautiana kulingana na mng'ao wake kwani kuwa zenye mng'ao mkubwa na zile zilizofifia.Njia ya kawaida ya kupaka eyeshadow ni kutoka ndani ya kona
ya jicho na nje na zaidi.Rangi kama Gray, violet, zambarau na bluu huwapendeza sana
watu wa rangi ya maji ya kunde na kusaidia kung'arisha macho yao.
 
Back
Top Bottom