Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hauzimiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii motoooooooooooo hauzimiiiiiiiiiiiiiiii moto na uwakeeeeeeeee uwakeeeeeeeeeeee motooooooooooo hauzimiiiiiiiiiiiiiiiii
tapatalk_1534529665683.gif
 
Utafiti uliofanywa na chuo cha Harvard unaonesha wanaume wanaojichua au kufanya mapenzi mara 21 au zaidi kwa mwezi wanapunguza uwezekano wa kupata saratani ya tezi dume kwa asilimia 33%.

Katika tafiti zilizofanywa kipindi cha nyuma zilikuwa zinaonesha kufanya mapenzi mara kwa mara kunasaidia kupunguza hatari ya kupata saratani hiyo, ila utafiti huu wa Harvard umehusisha na kujichua ambapo vitendo hivyo vinasaidia kuondoa toxins zinazosababisha saratani kwenye kibofu.


Wapiga puchu hapa mmepata sababu sabuni zitaadimika sasaView attachment 915821
tizama hicho kikatuni kinavyorembua.
 
Sema kweli binamu chege jamani kwahiyo hapo umenyegeka eenh
Yaani! Yaani hapa ni full mnyegeko unaohaha kutafuta mgegedo... njoo basi binamu uchukue Peruvian Hair! Niliamua kununua mwenyewe badala ya kukutumia pesa; nimehofu usije ukamuhonga yule jamaa ambao uwezo wake ni kugharamia nywele za Kimasai!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom