Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Wanamitindo wenye ulemavu wa ngozi wameshiriki katika shindano la kuiwakilisha Kenya katika mashindano makubwa ya Afrika mashariki ya kumtafuta Mr & Miss Albino.
Mashindano haya yamenuiliwa ubadili mtazamo wa jamii dhidi ya walemavu hawa.
Mashindano haya yamenuiliwa ubadili mtazamo wa jamii dhidi ya walemavu hawa.