Makapuku Forum

Makapuku Forum

...namba nilitumiwa lakini majanga niliyokutana nayo kwenye hiyo namba hata ungekuwa mlokole ungesalimu amri. Ni namba ya mganga kutoka Nigeria
Ooh[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]sikutekwa mwee
Hahahah nilimpa kafurahijee
Ahaa kumbe kuna binamu mwingine nitambulishe basi anitambue [emoji16]
Bora ulivyompa no hii nyimbo iishe
 
Uchovu bado haujaisha jamani mwili wote unauma au ninunulieni kungfu mtaniona

Duh, pole kwa uchovu aunt yangu mwenyewe. Ilikuwa kazi kweli kweli

fat-woman-funny-dance-animation.png
 
Uchovu bado haujaisha jamani mwili wote unauma au ninunulieni kungfu mtaniona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kungfu?ukianza kulia hapa nani atakubembeleza
 
Sitalia jamani uchovu wote utaisha Kapwil uko wapi jamani uninunulie kungfu uchovu uishe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kungfu?ukianza kulia hapa nani atakubembeleza
 
Back
Top Bottom