Makapuku Forum

Makapuku Forum

Rafiki mimi pia nataka niwe binamu ili nishindane na binamu Obe katika kupendwa![emoji123][emoji123][emoji123]

...basi nawe uitwe bhinamu, lakini ndo ujue ubinamu huu unakosa mambo mazuri na hata zile chura zako unazopendaga utabaki kumuona anko wangu Lyon Lee akizirukisha kichurachura, mwenzako nina mama yao humu kwa hiyo kama utaweza endelea
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!....binamu Obe atakoma kwa sababu lazima nihakikishe kuwa nampita katika kupendwa![emoji4][emoji4][emoji4]

funny-gif-monkey-mirror-jumping.gif
 
....kiasi liko poa, nimelikosa tumbo nyama sababu ya upuuzi wa jino, yaani hata viazi imebidi visagwe kwanza ndo nile, ila uzuri beer haitafunwi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole binamu utapona kwa sasa endelea kumeza bia
 
Back
Top Bottom